Hii ilikuwa ni jumapili ya wiki iliyopita Agosti 15, 2012 ambayo ilikuwa ni siku ya mwisho ya mkutano katika viwanja vya furahisha jijini mwanza,mkutano wa injili uliodumu kwa siku nane ambapo mtumishi wa Mungu muinjilist wa siku nyingi na Askofu mkuu wa kanisa la EAGT,baba wa kiroho wa watumishi wengi wenye huduma kubwa hapa nchini Tanzania na Duniani Dr.Moses Kulola alikuwa akihubiri katika mkutano huo.
siku ya mwisho idadi ya watu waliohudhuria katika mkutano huo ilikuwa kubwa mno na pia mkutano huo ulikuwa ukirushwa Live kupitia kituo cha Radio cha jijini Mwanza cha Kwa Neema FM....
kwa habari zaidi ni kama inavyoonekana katika picha hapa chini