Mwanamuziki wa muziki wa Bongo flava nchini Tanzania Rehema Chalamila almaarufu kama Ray C, ametangaza kua kwa sasa ameamua kumrudia Mungu na kuokoka baada ya kuwa kwenye janga la utumiaji wa madawa ya kulevya kwa mda mrefu hali iliyompelekea kuwa na matatizo ya kiafya kwa muda mrefu sasa.
Uamuzi huo wa Ray C wa kuokoka ameutangaza na kuuwekea msisitizo zaidi kwa kupost kwenye akaunti yake ya mtandao wa kijamii wa Twitter na kusema kwamba kwa sasa amebatizwa na kujiunga na kanisa la Siloam, Shika neno tenda neno la jijini Dar es salaam
katika mtandao wa Twitter Ray C amepost katika akaunti yake inayokwenda kwa jina @ CRay31
picha inayomuonesha akibatizwa na pia kuweka msisitizo kuhusu uamuzi wake wa kuokoka kwa kusema kwamba
"Nimebatizwa!!!! Shetani huna nafasi tena kwenye maisha yangu, tena na tena"

Moja ya picha aliyopost Ray C akionesha wakat anabatizwa kwa maji mengi |