Kwaya ya Safina toka Kanisa kuu Anglican mjini Dodoma,wanatarajia kuzindua album yao ya nyimbo za Injili inayokwenda kwa jina la Ngome,uzinduzi utakaofanyika siku ya jumapili November8, 2015,na kusindikizwa na waimbaji binafsi na kwaya mbalimbali za mjini Dodoma.
Uzinduzi huo wa Album unafanyika ikiwa ni pamoja na kuiweka wakfu Album hiyo kwa Upande wa Audio na Video ambayo imefanywa kwa kiwango cha juu na ustadi ambapo Recording yake imefanyika katika maeneo tofauti tofauti ya Dodoma na Nje ya Dodoma
Sehemu ya Picha za Recording ya Album hiyo ni kama zinavyoonekana hapa