Mwanamuziki wa nyimbo za Injili kutoka nchini Tanzania,Upendo Nkonne jumapili hii ameweka wakfu na kuzindua Album yake mpya ya tano inayokwenda kwa jina la ""Omba Yesu Anasikia " toka atoe album zingine za awali,uzinduzi ambao umefanyika nchini Marekani ndani ya kanisa la All Nations BreakThrough Church (ANBC) - Gahanna Ohio.
Mchungaji wa kanisa la ANBC Donnis na Nnunu Nkone wakiiweka wakfu Album yake Upendo Nkonne |