Kanisa la Mwanza International Community Church MICC lililopo chini ya mchungaji Kiongozi Zakayo Nzogere wamefanya tamasha maalumu la uchangishaji wa fedha na kuanza rasmi ujenzi wa kanisa la kudumu ambapo ibada za kanisa hizo zitakua zikifanyikia huko.
Tamasha hilo lilihudhuriwa na mamia ya wakazi wa jiji la mwanza ambapo mgeni rasmi katika uzinduzi huo alikua Meya wa halmashauri ya wilaya ya nyamagana Mh.Stanslaus Mabula
Sehemu ya tukio hilo lilivyofanyika ni kama inavyoonekana katika picha hapa chini
Sehemu ya tukio hilo lilivyofanyika ni kama inavyoonekana katika picha hapa chini
Mchungaji Zakayo Nzogere kiongozi wa kanisa la MICC |
Mchungaji Godluck Kyara wa kanisa la NVCC |
Mh.Stanslaus Mabula akieleza jambo akiwa na Mchungaji Zakayo Nzogere |
Mh.Stanslaus Mabulameya wa halmashauri ya wilaya ya nyamagana |