Mwalimu Christopher Mwakasege ameanza kufundisha mafundisho ya Neno la Mungu katika jiji la mwanza,ambapo mamia ya watu toka viunga mbali mbali vya jiji la mwanza wamekuwa wakimiminika tangu siku ya jumapili ya tarehe 22July 2012 kuhudhuria katika semina hiyo itakayodumu hadi siku ya jumapili.
katika semina hiyo wakazi wa jiji la Mwanza watapata fursa ya kupokea mafundisho mbalimbali ya kumjenga mkristo katika kumjua Mungu.
na hapa chini ni sehem ya umati wa watu wakisikiliza mafundisho ya Mwalimu Christopher Mwakasege