Moja ya tukio la aina yake lililostaajabisha wengi ni tukio ambalo limetokea nchini Iraq na kupostiwa kwenye baadhi ya mitandao ya kijamii ambapo ameonekana mtu mmoja ambaye alikamatwa kwa makosa ya kuonekana akieneza ukristo nchini Iraq na kuhukumiwa kunyongwa mpaka kufa.Kilichostaajabisha wengi ni namna mtu huyo alivyokua akitabasamu mpaka akiwa amevishwa kitanzi licha ya kujua kua anaenda kunyongwa na kupoteza uhai,
Je ni wakristo wangapi wana ujasiri kama aliouonesha huyu ndugu
Je ni wakristo wangapi wana ujasiri kama aliouonesha huyu ndugu