Hii ndiyo TV Interview ya Mwisho aliyoifanya Dr.Myles Munroe Nchini Kenya wiki chachezilizopita kabla hajarest in Peace... Nimeiangalia kwa umakini sana hii Clip nikabaini kuwa Huyu Mtu alikua na Upeo wa kipekee katika kuchambua mambo....ni kama Alijua hana muda mrefu duniani....amezungumzia namna ambavyo ameshajiandaa kufariki lakini apumzike kwa amani akiwa Empty kwa maana kwamba Ameshatimiza madhumuni ya yeye kuletwa duniani...kufundisha wengine na kuwajenga,,,na isue kubwa sio kufariki akiwa mzee bali akiwa ameshatimiza Lengo la yeye kuzaliwa duniani...
ametolea mfano Yesu kristo alikufa akiwa na miaka 33 tuu na maneno makuu msalabani yalikua matatu tuu....IT IS FINISHED,,,,,,
Hii Clip imejitosheleza Sina kingine cha Kuongeza katika kuzungumzia Kifo cha Dr.Myles Munroe....Itazame hapa
Hii Clip imejitosheleza Sina kingine cha Kuongeza katika kuzungumzia Kifo cha Dr.Myles Munroe....Itazame hapa