Filamu hii ya the Passion of Jesus ikiwa imetengenezwa na Mel Gibson ,ni moja ya filamu ambazo zimewahi kutengenezwa zikionesha namna mateso ya Bwana Yesu Kristo yalivyofanywa miaka 2000 iliyopita, ambapo tofauti na filamu zingine zilizowahi kuchezwa,
Filamu hii ilijichukulia mvuto wa kipekee baada ya toleo la kwanza kutoka na kuzua upinzani mkali toka kwa wayahudi waliotaka filamu hii isiruhusiwe kuingia mtaani kuuzwa kwa kile kilichoonekana kama ni (Exaggeration) au kuzidisha baadhi ya matukio tofaut na uhalisia ulivyokua yaliyokua yakionesha kuteswa kufa na kufufuka kwa Bwana Yesu.
Aidha hoja hizo zilipata nguvu na filamu hii kupunguzwa baadhi ya episode zilizodaiwa kuwa zitaleta madhara kwa watazamaji wa filamu hii, baada ya filamu hii kuoneshwa katika baadhi ya nchi na kusababisha vifo vya baadhi ya watu walioitazama filamu hii na kupatwa na mshtuko wa moyo kutokana na namna mateso yaliyokua yanaonekana katika filamu hii ambayo ni (reflection) au kivuli cha yale yaliyofanywa na askari wa Kirumi kwa Bwana Yesu katika mateso yake kuelekea Msalabani.
lakini kwa hali ya kawaida wengi hua wanajiuliza je Filamu hii ilitengenezwa vipi na je mateso yale yaliigizwa vipi ???
Jibu la maswali hayo linakuja kupatikana baada ya waaandaaji wa filamu hiyo kuonesha namna walivyokua wanaitengeneza filamu hiyo na namna walivyojaribu kuwatengeneza wahusika wa filamu hiyo kama inavyooneshwa katika video hapa chini
Filamu hii ilijichukulia mvuto wa kipekee baada ya toleo la kwanza kutoka na kuzua upinzani mkali toka kwa wayahudi waliotaka filamu hii isiruhusiwe kuingia mtaani kuuzwa kwa kile kilichoonekana kama ni (Exaggeration) au kuzidisha baadhi ya matukio tofaut na uhalisia ulivyokua yaliyokua yakionesha kuteswa kufa na kufufuka kwa Bwana Yesu.
Aidha hoja hizo zilipata nguvu na filamu hii kupunguzwa baadhi ya episode zilizodaiwa kuwa zitaleta madhara kwa watazamaji wa filamu hii, baada ya filamu hii kuoneshwa katika baadhi ya nchi na kusababisha vifo vya baadhi ya watu walioitazama filamu hii na kupatwa na mshtuko wa moyo kutokana na namna mateso yaliyokua yanaonekana katika filamu hii ambayo ni (reflection) au kivuli cha yale yaliyofanywa na askari wa Kirumi kwa Bwana Yesu katika mateso yake kuelekea Msalabani.
Muongozaji wa Filamu hiyo Mel Gibson akimuelekeza jambo mhusika aliyeigiza kam Yesu |