"kwa sasa namtegemea Yesu Kristo pamoja na madaktari na manesi,,""ni moja ya kauli alizozitoa Rais wa Venezuela Hugo Chavez katika akaunt yake ya Twetter ,baada ya kurudi nchini mwake Venezuela ghafla na kuwashangaza wengi ambao hawakutarajia kama angerudi nchini Venezuela katika kipindi hiki kutoka nchini Cuba alipokua anafanyiwa matibabu kwa maradhi ya Cancer..
Kurudi wa Rais Hugo Chaves wa Venezuela chini mwake kumepokelewa kwa furaha na shangwe kubwa na wafuasi wake ambao walijikusanya katika eneo lijulikanalo kama Boliver
Hugo Chaves mwenye umri wa miaka 58 alichaguliwa kwa mara nyingine tena mwezi October na kuongeza mda wake kukaa madarakani kwa takriban miaka 14. ambapo mnamo mwezi December mwaka jana alilazimika kwenda nchini Cuba kwa matibabu zaidi ya Ugonjwa wa Cancer unaomsumbua baada ya kukutwa kwa chembe chembe za cell mwilini mwake
kiongozi huyu mwenye itikadi za kijamaa amekua akipambana na maradhi ya Cancer yanayomsumbua kwa miaka mingi sasa licha ya kutoweka wazi ni aina ipi ya caner inamsumbua wala kubainisha ni sehem gani ya mwili wake imeathiriwa na ugonjwa huo.
katika post yake nyingine katika mtandao wa Twitter jumatatu ya wiki hii Rais Hugo Chaves alipost picha akiwa na mabinti zake na kusema kwamba amefika salama nchini Venezuela huku akiongeza zaid kwa ku tweet "
"Thank you, my God! Thank you, my beloved people!"
Chaves ameongeza kuwa kwa sasa atakua akiendelea na matibabu nchini Venezuela.
Rais Hugo Chaves akiwa na mabinti zake |