Jefferson Aparecido Dias kutoka Sao Paulo Kiongozi wa mashitaka nchini Brazil |
Fedha za noti nchini Brazili zimekuwa na maneno yanayosomeka "Deus Seja Louvado," or "God be Praised," Mungu asifiwe,ambapo
kwa mujibu wa gazeti moja la Marekani "New York times" limeeleza kwamba nchi ya Brazili imekuwa ikitumia kauli hiyo kwenye noti zake tangu mwaka 1986 hadi leo hii
Sehem ya noti hizo yenye maneno ya kireno DEUS SEJA LOUVADO ambapo tafsiri yake ni Mungu asifiwe |
Baadhi ya fedha za noti zinazotumika nchini Brazil |
Jefferson Aparecido Dias kutoka Sao Paulo Kiongozi wa mashitaka nchini Brazil |
Wakati huohuo kadinali Odilo Scherer, askofu mkuu wa Sao Paulo, amejibu kauli hiyo kupitia akaunti yake ya tweeter kwa kusema kwamba sio watu wengi wameweza kugundua hiyo sentensi kwenye fedha za noti nchini Brazil ambapo sentesi hizo zimeandikwa kwa maandishi madogo sana na yamewekwa chini kabisa mwa noti hizo
Kadinali Odilo Scherer, askofu mkuu wa Sao Paulo |
Hiki pia ndicho alichokisema Cardinal Scherer
"The phrase should make no difference to those who do not believe in God. But it is meaningful for all those who do believe in God. And those who believe in God also pay taxes and are most of the population,"
Benki kuu ya Brazili imejibu madai ya kuondolewa maneno hayo toka kwenye noti hizo kwa kusema kwamba sentensi hiyo iliwekwa kwenye noti za nchi hiyo kwa sababu kwa mujibu wa katiba ya nchi hiyo inaonesha kuwa serikali ya Kidemokrasia ya Brazil iliundwa chini ya ulinzi wa Mungu hivyo maneno hayo yanatumika kama ishara ya kuutambua uweza wa Mungu katika nchi hiyo.

Benki kuu ya Brazili |
hiki ndicho benki kuu ya nchi hiyo ilichosema pia
the state has the right to "make a reference to the existence of a higher being, a divinity, as long as, in doing so, it does not make an allusion to a specific religious doctrine," highlighting that the "God be praised" message does not allude to any one god or being in particular.