Tanzania fellowship of evangelical students tawi la mwanza Imeandaa tamasha kubwa la kusifu na kuabudu (Campus Night)
litakalowakutanisha wanafunzi wa chuo hicho kilichopo jijini Mwanza na vyuo vya jirani pamoja na wakazi wa maeneo jirani,
tamasha hilo limepangwa kufanyika Ijumaa hii ya tarehe 19/October 2012 katika viwanja vya Nyamalango kuanzia saa mbili usiku hadi asubuhi.
Tamasha hilo lililopewa jina la "Revival Flames Campus Night" litajumuisha pia maombezi kwa wenye mahitaji huku vikundi mbali mbali vya kusifu na kuabudu vikikutana katika jukwaa moja kubwa na kumsifu Mungu katika eneo maarufu kama Nyamalango
Hii si mara ya kwanza kwa TAFES SAUT kuandaa tamasha kama hili kwani tayari matamasha makubwa matatu yameshafanyika katika uwanja huo ambapo katika matamasha yaliyipita mwitikio wa watu ulikuwa mkubwa sana na wengi walimpokea Yesu katika matamasha hayo.
katika tamasha hili Mnenaji katika Tamasha hili atakuwa ni Askofu Eugene Murisa kutoka Kanisa la High Way of Holiness Cathedral lililopo maeneo ya Ilemela Kanisani, Njia kuu ya kuelekea Airport.
Kwaya na Band mbalimbali zitahudumu wakiwemo TAFES Praise & Worship Team, Kingdom Worship, TAFES Choir, HHC Praise & Worship Team, Revival Mission Band(Wana wa Uzao wa Daudi) na Wengine wengi.
Picha za matukio ya matamasha yaliyowahi kufanyika kipindi cha nyuma katika uwanja huo katika chuo hicho cha Mtakatifu Augustino ni kama zinavyoonekana hapa chini....

moja ya tamasha lililowahi kufanyika chuoni hapo katika uwanja wa wazi wa Nyamalango mwaka 2011 |
Hii si mara ya kwanza kwa TAFES SAUT kuandaa tamasha kama hili kwani tayari matamasha makubwa matatu yameshafanyika katika uwanja huo ambapo katika matamasha yaliyipita mwitikio wa watu ulikuwa mkubwa sana na wengi walimpokea Yesu katika matamasha hayo.
katika tamasha hili Mnenaji katika Tamasha hili atakuwa ni Askofu Eugene Murisa kutoka Kanisa la High Way of Holiness Cathedral lililopo maeneo ya Ilemela Kanisani, Njia kuu ya kuelekea Airport.
Kwaya na Band mbalimbali zitahudumu wakiwemo TAFES Praise & Worship Team, Kingdom Worship, TAFES Choir, HHC Praise & Worship Team, Revival Mission Band(Wana wa Uzao wa Daudi) na Wengine wengi.
Picha za matukio ya matamasha yaliyowahi kufanyika kipindi cha nyuma katika uwanja huo katika chuo hicho cha Mtakatifu Augustino ni kama zinavyoonekana hapa chini....
moja ya steji ambazo ziliwahi kutumiwa katika shughuli hiyo |
Wanamuziki wakiwa kazini |
sehemu ya watu waliopita mbele kumpa Yesu Maisha yao katika mojawapo ya matamasha yaliyofanyika chuoni hapo |