Jumapili ya tarehe tarehe 14 October 2012 ilikuwa ni kilele cha wiki ya vijana ndani ya kanisa la Mwanza International community church la Jijini Mwanza ambapo vijana wamepata fursa ya kufundishwa mafundisho mbali mbali ya kiroho na kimaisha katika kuwawezesha vijana kumjua Mungu na kumfanya Mungu ajulikane kupitia kazi zao na shughuli zao za kila siku.
wiki hiyo ya vijana imekuwa na mkusanyiko wa matukio mbali mbali yaliyokuwa yameandaliwa na vijana wa kanisa hilo lililopo katikati ya jiji la Mwanza katika ukumbi wenye jina kipepeo hall ndani ya Mwanza Hotel ikiwa ni pamoja na mafundisho kuhusu Uchumba hadi kufikia hatua ya ndoa, na pia Namna ya kutafuta na kuomba scholarships katika vyuo vya kimataifa.
mafundisho hayo yemekuwa yakitolewa katika conference ya siku mbili iliyofanyika katika wiki ya vijana, conference iliyopewa jina la Changers Conference(Mkutano wa wanamabadiliko) iliyofanyika kwa siku mbili Jumamosi katika Hotel ya Victoria Anox na siku ya pili katika ukumbi wa Gadhi hall ndani ya jiji la Mwanza.
kwa Mujibu wa Mchungaji kiongozi wa MICC pastor Zakayo Nzogere amesema Lengo kuu la conference hii ni kuwaandaa vijana kwa kuwapa mbinu mbalimbali zitakazowafanya kuja kuleta mabadiliko katika Tanzania na Afrika kwa kutumia taaluma zao,na nguvu zao huku mabadiliko hayo yakianzia katika maisha ya kiroho ya mtu binafsi katika kumjua Mungu na kisha mabadiliko katika kila sekta ili kuikomboa nchi ya Tanzani kutoka katika umaskini.
Pastor Zakayo Nzogere mchungaji kiongozi wa kanisa hilo la MICC ndiye alikuwa mnenaji katika ibada ya jumapili hii ambayo ilikuwa kilele katika kuazimisha wiki ya vijana.
mchungaji huyo Kijana amekuwa mfano wa kuigwa kwa vijana wengi wenye malengo ya kufika mbali katika Huduma zao na katika taaluma.Vijana wengi wamekuwa wakimtumia kama Role Model wao kutokana na historia ya maisha yake na namna Mungu amebadilisha maisha yake siku hadi siku kwa kumuinua na kumbariki yeye na familia yake.
katika Ibada ya jumapili watoto wadogo walipata nafasi ya kuwekewa mikono na kuombewa baraka maishani mwao huku baadhi ya waumini wakiwaweka wakfu watoto wao wachanga mbele za Bwana.
kwa matukio mengine kanisani hapo ni kama inavyoonekana katika picha hapa chini.
Pastor Zakayo Nzogere akihubiri kanisani MICC na Mr.Omondi kama mkalimani |
wiki hiyo ya vijana imekuwa na mkusanyiko wa matukio mbali mbali yaliyokuwa yameandaliwa na vijana wa kanisa hilo lililopo katikati ya jiji la Mwanza katika ukumbi wenye jina kipepeo hall ndani ya Mwanza Hotel ikiwa ni pamoja na mafundisho kuhusu Uchumba hadi kufikia hatua ya ndoa, na pia Namna ya kutafuta na kuomba scholarships katika vyuo vya kimataifa.
wakati wa maombezi |
mafundisho hayo yemekuwa yakitolewa katika conference ya siku mbili iliyofanyika katika wiki ya vijana, conference iliyopewa jina la Changers Conference(Mkutano wa wanamabadiliko) iliyofanyika kwa siku mbili Jumamosi katika Hotel ya Victoria Anox na siku ya pili katika ukumbi wa Gadhi hall ndani ya jiji la Mwanza.
Praise and worship team ya MICC katika Ibada |
kwa Mujibu wa Mchungaji kiongozi wa MICC pastor Zakayo Nzogere amesema Lengo kuu la conference hii ni kuwaandaa vijana kwa kuwapa mbinu mbalimbali zitakazowafanya kuja kuleta mabadiliko katika Tanzania na Afrika kwa kutumia taaluma zao,na nguvu zao huku mabadiliko hayo yakianzia katika maisha ya kiroho ya mtu binafsi katika kumjua Mungu na kisha mabadiliko katika kila sekta ili kuikomboa nchi ya Tanzani kutoka katika umaskini.
Pasto Zakayo Nzogere na Mr.Omondi ,mlezi wa vijana MICC |
mchungaji huyo Kijana amekuwa mfano wa kuigwa kwa vijana wengi wenye malengo ya kufika mbali katika Huduma zao na katika taaluma.Vijana wengi wamekuwa wakimtumia kama Role Model wao kutokana na historia ya maisha yake na namna Mungu amebadilisha maisha yake siku hadi siku kwa kumuinua na kumbariki yeye na familia yake.
katika Ibada ya jumapili watoto wadogo walipata nafasi ya kuwekewa mikono na kuombewa baraka maishani mwao huku baadhi ya waumini wakiwaweka wakfu watoto wao wachanga mbele za Bwana.
kwa matukio mengine kanisani hapo ni kama inavyoonekana katika picha hapa chini.
sehem ya kanisa hilo kwa nyuma |
Juma luchele kiongozi wa praise and worship MICC akiwa kazini katika kumsifu Mungu |
Alfred Yonah Akiwa amekamatia kisawasawa guitar la Bass wakat wa praise and worship kanisani MICC |
Mr.Omondi akiwa na wanamuziki wenzake wakat wa praise and worship |
Pastor Innocent akiwa kazini kumsifu Bwana kupitia drums |
praise team ikiwa kazini |
Mr and Mrs Gerana Majaliwa wakiwa wamempeleka mtoto wao mchanga kuwekwa wakfu mbele za Bwana |
maombezi kwa mtoto wa mr and mrs Gerana aliyeletwa kuwekwa Wakfu mbele za Bwana |
Pastor Zakayo akiwa na watoto wa kanisa la Mwanza International community church |
Huyu ni mtoto ambaye Pastor Zakayo alimtabiria kuja kushika nyadhifa za juu sana serikali pindi atakapokuwa mkubwa |
watoto na wazazi wao kanisani MICC |
Pastor Zakayo akiwaombea watoto wa kanisa hilo la MICC |
Maombezi yakiendelea kanisa hapo kuwaombea watoto wa kanisa hilo |
Mr Mosha akimkabidhi zawadi iliyoandaliwa na vijana wa kanisa hilo Mchungaji msaidizi pastor Innocent na mkewe kanisani hapo |
Mr.Mosha akimkabidhi zawadi iliyoandaliwa na vijana pastor Nyachi ikiwa ni katika kuadhimisha wiki ya vijana kanisani hapo |
Mr.Mosha mwenyekiti wa vijana kanisa la MICC akiwana mr.Sendama mmoja wa wajumbe kamati ya wiki ya vijana kanisani MICC |
Mr.Mosha ,Mr.Sendama,wakimkabidhi mlezi wa vijana kanisa la MICC mr.Omondi na mkewe |
Mambezi kabla ya Ubatizo wa Miss Sophia |
Nakubatiza kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho mtakatifu....... |
Maombi ya kufunga Ibada ya ubatizo |
Thanks kwa matukio mazuri ya MICC ubarikiwe sana, nami nataka kutengeneza Blog, nitakutafuta unisaidie mawazo naitwa jenitha kidenya.
ReplyDeleteubarikiwe sana kwa Huduma hii.