Mwimbaji Sam kibona |
Baada ya kutamba na albam yake ya kwanza iliyozinduliwa mwaka 2010 iliyojulikana kwa jina la "Yesu Ameshinda kifo na mauti", muimbaji Samwel Kibona anategemea kuachilia albam yake ya pili mwezi ujao itakayojulikana kwa jina la Yesu Hajakuacha"
kwa sasa mwimbaji huyo anayeishi mkoani Mbeya anaomba maombi yako ili kazi hiyo ipate kibali mbele za Mungu!
kwa mawasiliano 0714558839picha hizo ni baadhi ya sehemu muimbaji huyo akiwa kwenye huduma