Kundi la kusifu na kuabudu almaarufu kama Rivers of Life toka kanisa la Dar es salaa Pentecostal Church DPC leo hii limeanza safari kuelekea Mombasa nchini Kenya katika tamasha la kusifu na kuabudu litakalofanyikia mapema mwez huu.
Kundi la Rivers of Life katika moja ya huduma walizokuwa wakifanya Dar es salaam |
kundi hili likiwa na wanamuziki wenye majina makubwa na uwezo mkubwa wa kuhamisisha watu katika kumsifu Mungu pale wanapokuwa katika steji ikiwa ni pamoja na John Lisu,Pastor Safari,John Kagaruki mkali wa shofar,Bale na wengine wengi limeanza safari asubuhi hii kuelekea Mombasa ambapo wanatarajia kwenda kuinua sifa kwa Bwana kupitia nyimbo za kusifu na kuabudu na kuzirudisha roho zilizopotea kurudi kwa Bwana.
John Kagaruki akionyesha namna ya kumsifu Mungu kwa kutumia Shofar |
hii ni mara ya pili kwa kundi hili toka DPC kwenda kufanya tamasha nchini Kenya ambapo awali John Lisu na baadhi ya wanamuziki wenzake walikuwepo nchini Kenya katika tour ya kuitangaza album ya John Lisu iliyojulikana kama JEHOVA YU HAI
John Lisu amekaririwa katika status yake katika moja ya mitandao ya kijamii, facebook akisema
katika hatua nyingina mtumishi John Kagaruki ambaye amekuwa na uwezo mkubwa katika kutumia kifaa kiitwacho Shofar chenye umbile la Pembe ya ng'ombe ambaco asili yake ni nchini Israel nae pia
katika status yake facebook hiki ndicho alichokisema
"""Mombasa here we come! Sifa
Zivume! @John Kagaruki ""
John Kagaruki |
John Kagaruki akipuliza Shofar |
katika tamasha la awali ambalo John Lisu na baadhi ya wana rivers of Life na wanamuzik mbali walipofanya tamasha nchini kenya hali ilikuwa kama inavyoonekana katika picha hapa chini