katika hali isiyokuwa ya kawaida kanisa la EFATHA mkoani Rukwa limepata hasara ya takribani shilinigi milioni 228 baada ya matrekta mawili aina ya New Holland,shamba moja,kuteketezwa kwa moto huku nyumba mbalimbali zikibomolewa na wananchi kwa kujichukulia sheria mikononi katika kambi ya Sikaungu moja ya kambi za kanisa hilo
kwa mujibu wa mchungaji wa kanisa hilo Michael Meelaa amesema kuwa hali hiyo imetokea mara baada ya Mbunge wa Jimbo la Kwela Mh.Ignas Malocha kuhutubia mkutano wa hadahara kijijini hapo na kuwahamasisha wananchi watumie nguvu ya umma kuyakomboa mashamba yao yaliyochukuliwa na mwekezaji huyo.
Picha hapa chini zinaonyesha namna hali ilivyokuwa
source: Tunu Bashemela

Shamba lililoteketezwa kwa moto mali ya kanisa hilo la EFATHA mkoani Rukwa |
hivi ndivyo matrekta ya kanisa hilo yanavyoonekana sasa baada ya kuteketezwa kwa moto |
Matumizi ya kutumia nguvu bado yanaleta adhari Tanzania..Mungu atusaidie
ReplyDelete