siku ya ijumaa ya tarehe 19 October2012 jumuiya ya wanafunzi wakristo wa chuo cha mtakatifu Augustino wamekuwa na tamasha la kusifu na kuabudu lililofanyika katika viwanja vya Nyamalango ambapo watu wengi walihudhuria katika tamasha hilo la kusifu na kuabudu
matukio yaliyojiri katika tamasha hilo ni kama inavyoonekana katika picha hapa chini
matukio yaliyojiri katika tamasha hilo ni kama inavyoonekana katika picha hapa chini
Sephone Sospeter Kiongozi wa kikundi cha kusifu na kuabudu TAFES |
Baraka Samson (mjap) nae alitokelezea kwenye second piano katika concert hiyo |
Felix Mshama with Bass gutar |
wakat wa sifa na kuabudu |
kikundi cha kusifu na kuabudu toka Highway of Holiness Church kikifanya vitu vyake hapa ilikua bonge moja la sebene |
Pastor Goodluck Kyara wa kanisa la New Vine International ministries |
Kingdom Worshipers Band katika uwepo wa Mungu |
SAUTFES choir |
vijana wa kazi chini ya steji wakifanya vituz |
Kihayire group toka Mwanza wakiachia masongi yao na show moja bab kubwa |
Kihayire group |
Kikundi cha kusifu na kuabudu toka TAFES SAUT kikiongoza watu katika kusifu na kuabudu |
hapa ni bonge moja la Sebene toka kwa papaa Noel |
wanamuziki Alfred Yona (mwenye kofia ya kaki) Jonas Yona(kati) Sephone Sospeter kwenye drums |
David Silwimba akiimba na mashabiki |
Huima Band toka SAUT |
Kihayile Group kazini |
Bishop Eugene Murisa wa kanisa la HHC Alive akiwaombea watu katika tamasha hilo |
Bishop Eugene Murisa wa kanisa la HHC Alive akihubiri usiku huo kwenye campus night |
praise and worship ya wanachuo toka bugando universty wakilead the mass |
watu wakiongozwa sala ya toba na Bishop Eugene Murisa |
Vicky akiwa kazini....palikuwa hapatoshi hapo |