Baada ya tukio la ijumaa ya tarehe 12 October 2012 la makanisa eneo la mbagala kuchomwa moto na kuharibiwa baadhi ya vifaa vilivyo kuwemo ndani ya makanisa hayo toka kwa kundi linalokadiriwa kuwa na watu wapatao 3000 wenye imani ya kiislam kwa kile walichokidai ni kudhihakiwa kwa kitabu cha dini hiyo kwa kukojolewa na mtoto Emanuel Josephat mwenye umri wa miaka 14,
ifuatayo ni sehem ya baadhi ya vitu vilivyoharibiwa makanisani hapo...
huu ni mkusanyiko wa baadhi ya picha kutoka katika mitandao mbali mbali ya kijamii ikiwemo Mtandao wa global publishers,Blog ya radio upendo,jmwamoja na mitandao mingine ambapo picha za matukio ya uharibifu yaliyokuwa yanafanyika siku hiyo eneo la Mbagala Jijini Dar es Salaam zimeendelewa kuwekwa kwenye mitandao mbali mbali huku watu wengi wakilaani kitendo hicho cha kuchoma makanisa kwa kile kilichodaiwa kulipiza kisasi baada ya mtoto kukokojolea kitabu cha dini ya Kiislam Quran...
kwa mujibu wa kamanda wa polisi kanda maalum ya Dar es Salaam RPC Kova amesema hadi sasa jumla ya waandamanaji 36wanashikiliwa na jeshi la polisi kwa kuhusika moja kwa moja na uharibifu huo wa makanisa mbagala na wengine zaidi ya 100 wanaendelea kuhojiwa na jeshi la polisi

waandamanaji wa kiislam wakiokota mawe baadae kuvamia kituo cha polisi na makanisa na kisha kufanya uharibifu kwenye makanisa hayo |
Askofu Malasusa akiingia kuangalia uharibifu uliofanywa na waislam katika kanisa la KKKT ambalo mimbari ya kanisa hiyo na vyombo vingine vilichomwa moto |
Askofu Malasusa akipewa maelezo namna uharibifu ulivyofanywa katika kanisa la KKKT mbagala |
kanisa la Sabato mbagala ambalo nalo pia lilivamiwa na kundi la waandamanaji wa kiislam |
Mabenchi ya kanisa la Anglicana yakiwa yametupwa nje ya kanisa hilo |
kurasa mbali mbali za Biblia zikiwa zimechanwa na waislam |
Kanisa la Anglican Mbagala ambalo nalo pia lilivamiwa na kuchomwa moto kwa baadhi ya vifaa vilivyokuwemo ndani |
Gari la Mchungaji Joseph Kinyota wa TAG Mtoni Kijichi lililochomwa moto katika kanisa hilo. Kinyota na wachungaji wengine walikutwa wakiwa eneo hilo kwenye kikao, lakini wao walifanikiwa kujificha. |
sehemu ya vioo vya kanisa vikiwa vimevunjwa na waandamanaji wa kiislam |
Mmoja wa waandamanaji wa wa kiislam akiwa ametiwa nguvuni na polisi |
Moja ya spika zilizochomwa moto makanisani |
Baadhi ya waandamanaji wa kiislam wakiwa chini ya ulinzi mkali wa polisi |
moja ya gari la clouds media group likiwa limevunjwa kioo katika vurugu hizo |
Gari la Mchungaji Joseph Kinyota wa TAG Mtoni Kijichi lililochomwa moto katika kanisa hilo. Kinyota na wachungaji wengine walikutwa wakiwa eneo hilo kwenye kikao, lakini wao walifanikiwa kujificha. |
Kanisa la Tanzania Assemblies of God Mbagala Kizuiani lililovamiwa |
Mzee kiongozi wa Kanisa hilo Albert Mbwambo, akiwa ndani ya kanisa la Mbagala TAG, akiangalia vitu vilivyoharibiwa na Waislamu hao |