Wanasayansi
nchini marekani wamegundua uwepo wa sayari nyingine ndogo kuliko dunia ikiwa na
muonekano wa moto.
Baadhi ya watanzania walioona picha ya sayari hiyo baadhi yao wamehusisha na imani
kuwa inawezekana ikawa ndio jehanamu yenyewe maalum kwa wenye dhambi.
Wanasayansi
hao wamesema sayari hiyo imegunduliwa baada ya uchunguzi wa miaka 33 iliyopita.
aidha Sayari hii inasemekana inazunguka nyota ndogo yenye rangi nyekundu.
Tafiti hizo
zilizofanyika zinaonesha uwepo wa sayari nyingine ndogo 700 huku nyingine zikionesha kuwa
kubwa zaidi tangu mwaka 1995.
Sayari hii inaonekana kuwa umbali wa mile 5200 kutoka umbali wa dunia hatahivyo sayari hii kwa sasa imepewa jina la UCF-1.01 na muhimili wake GJ 436.
Sayari hii inasemekana kuwa hatari kutokana na kiwango cha joto kinachofikia
degree 1000.
Hata
hivyo wachunguzi hao bado wanaendelea na uchunguzi zaidi na kwamba hawana
mpango wala mikakati ya kuitembelea sayari hiyo kwa wakati huu.
Du watanzania hawakosi jambo,labda ndo Jehanamu hiyo maana joto hilo si mchezo
ReplyDeleteHiyo siyo Jehanamu ni maneno tu ya watu Mungu aliumba vitu na maajabu pia
ReplyDelete