Breaking
News...Madaktari bigwa wagoma rasmi wamesema hawawezi kufanya kazi peke
yao na wako tayari kwa lolote na wamesema liwalo na liwe. Hatuwezi
kufanya kazi katika mazingira haya hatarishi na magumu
Wamedai Rais kapotosha umma na wamehoji iweje rais asikilize hoja za upande mmoja?
Kwa habari zilizopo wagonjwa hakuna na waliopo wodini wametelekezwa.