Kanisa la KKKT Imani Makongoro Mwanza jumapili hii limezindua Jubilee ya Miaka 25 tangu kuanzishwa kwake, huku Watumishi wa Mungu na Wakristo mbalimbali wakihudhuria ibada hiyo ambayo imeongozwa na Askofu Andrew Gulle wa Dayosisi ya Mwanza.
Uzinduzi huo umekwenda sambamba na harambee kubwa ya kuchangisha Takribani kiasi cha shilingi milioni 250 kwa ajili ya ujenzi wa Shule ya Imani Lutheran School.
Kilele cha Maadhimisho hayo kinatarajiwa kufanyika tarehe 31.August 2014 ambapo miradi mbalimbali itazinduliwa na kuwekwa wakfu.
Mgeni rasmi katika harambee hiyo alikua ni Askofu Mkuu wa Makanisa yaKKKT Tanzania Alex Malasusa ambapo pamoja na pongezi kwa jubelee hiyo pia amewashukuru washarika wa Imani kwa moyo wa kumjengea Mungu kanisa zuri na la kifahari litakalowawezesha watu wengi kujumuika pamoja na kumuabudu Mungu.
picha za matukio hiyo ni kama zinavyoonekana hapa
Uzinduzi huo umekwenda sambamba na harambee kubwa ya kuchangisha Takribani kiasi cha shilingi milioni 250 kwa ajili ya ujenzi wa Shule ya Imani Lutheran School.
Kilele cha Maadhimisho hayo kinatarajiwa kufanyika tarehe 31.August 2014 ambapo miradi mbalimbali itazinduliwa na kuwekwa wakfu.
picha za matukio hiyo ni kama zinavyoonekana hapa
Kwaya ya Uinjilisti Kijitonyama wakiimba |
Wapigaji wakipiga muziki wa Kijitonyama |
Kwaya ya Imani kkkt Makongoro wakiimba |
Vitabu vya Mungu navyo vilikuwepo kama Biblia na vinginevyo kama inavyoonekana. |
Mwonekano wa Kanisa la Kkkt Imani Makongoro Mwanza.
|
credits: matukiomedia