![]() |
| Askofu.Dr. Moses Kulola akiita watu mbele kuja kumpa Yesu Maisha yao |
![]() |
| Mamia ya watu waliopita mbele kumpa Bwana Yesu Maisha yao |
![]() |
| Mchungaji na Mwinjilist Dr.Daniel Moses Kulola akiomba kwa ajili ya Watu waliokuwa wamepita mbele kumpa Bwana Yesu Maisha yao |
![]() |
| Sehemu ya watu waliokuwa wamepita mbele kumpa Bwana Yesu Maisha yao |
![]() |
| Askofu Mkuu wa Kanisa la EAGT Dr..Moses Kulola |
![]() |
| Askofu Mkuu wa Kanisa la EAGT Dr.Moses Kulola akiwa na Jopo la wachungaji katika mkutano ambao umeanza jumapili hii katika viwanja vya furahisha jijini Mwanza |
![]() |
| Sehemu ya umati uliokuwepo katika viwanja vya furahisha Jijini Mwanza katika siku ya kwanza ya mkutano jumapili hii |
![]() |
| Mama Askofu Dr.Moses Kulola akifuatilia kwa umakini Mahubiri katika viwanja vya Furahisha jijini Mwanza jumapili hii |
![]() |
| Kikundi cha uhamasishaji nacho hakikuwa nyuma katika kuchangamsha mkutano |
![]() |
| Sehemu ya umati uliokuwepo katika viwanja vya furahisha jiini mwanza wakifatilia uimbaji katika mkutano huu |
![]() |
| Vyombo vya asili navyo havikuwa nyuma yote katika kumsifu Mungu |
![]() |
| Mwinjilist wa Siku nyingi na Mchungaji wa kanisa la EAGT Lumala Mpya Dr.Daniel Moses Kulola akifatilia mahubiri katika mkutano huu jumapili hii |
![]() |
| PD Joram Samwel akichukua kila kinachoendelea katika mkutano |
![]()
| ||
| hapa Blogger Baraka Samson kikazi zaidi |























