Ikiwa ni siku ya pili ya Mkutano wa injili unaoendelea katika viwanja vya furahisha jijini Mwanza siku ya jumatatu.
wakazi wa Jiji la Mwanza waliohudhuria katika mkutano huo wamepata fursa ya ya kushuhudia show ya bureeeee toka kwa Masanja Mkandamizaji toka kundi maarufu la Ze Comedy Original toka Dar ambaye ni mmoja wa waimbaji watakaokuwa wakiimba na kuupamba mkutano huo unaondelea hadi siku ya jumapili wiki hii.
baada ya saalaam Masanja mkandamizaji alipanda jukwaani na na kuanza kukandamiza masongi yake na kuamsha shangwe kubwa saaaana iliyowafanya hata wakazi wa Mwanza kukusanyika kwa wingi licha ya wengi wao kuwa tayari walikuwa wameshaanza kuondoka. Ghafla walirudi na kuzizima kwa shangwe kama vile mkutano ndo unaanza kumbe ndo ulikuwa unaisha
Tukio zima lilikuwa kama inavyoonekana katika picha hapa chini
Masanja Mkandamizaji akiwasili uwanja wa Furahisha majira ya saa 12 jioni |
Masanja Mkandamizaji akifurahia jambo na Askofu Dr.Moses Kulola |
Mmoja wa watu walioponywa matatizo ya Uziwi akitoa ushuhuda wa kupona baada ya maombezi toka kwa Askofu . Dr Moses Kulola |
Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeezzzz |
mpo furuuuuuuuuuuuuuuuu |
Masanja Mkandamizaji akikandamiza moja ya songi lake lijulikanalo kwa jina """NIKO BUSY"" |
hapa ilikuwa ni full shangweeee toka kwa Mashabiki.... |
Pastor Gwamwanza akiteta jambo na Masanja mkandamizaji |
Niko busy eeeeeeeh na Yesuuu |
it's good to serve God
ReplyDelete