Mwanamuziki Kidumu kutoka nchini Kenya ambaye kiasili ni mzaliwa Burundi ameamua kumpa Yesu Maisha yake tena,Taarifa hiyo imekuja baada ya Mchungaji Eric Omba ambae anatajwa kama mume wa zamani wa mwanamuziki Glroria Muliro kuweka picha mtandaoni inayomuonesha mchungaji huyo akimbatiza mwanamuziki Kidumu katika ubatizo wa maji mengi kama illivyo katika Imani ya kipentecoste ambayo huamini mtu akishaokoka anapaswa kubatizwa kwa maji mengi
Mwanamuzik Kidumu akibatizwa |
Mwanamuziki Kidumu amefanya uamuzi huo ikiwa ni mara nyingine tena baada ya awali kutangaza kua ameokoka na hata kuanza kufanya nyimbo za injili ikiwa ni pamoja na ile ya Yesu Namba moja kama inavyoonekana hapa chini katika hii Video
Wimbo mwingine wa mwanamuziki huo ni huu uitwao Mungu anaweza
Mwanamuzik Kidumu baada ya kufanya nyimbo hizo juu za injili baadae alirudi nyuma na kurudi kwenye kufanya muziki wa Kidunia lakini sasa ameamua tena Kumrudia Mungu na Kuokoka....
Wengi wamefurahishwa na uamuzi huo na kumuombea asimame na wokovu na kujidhatiti asirudi nyuma tena kama awali
Majina halisi ya mwanamuziki huyu ni Jean Pierre almaarufu kama Kidumu na alizaliwa tarehe 28October 1974 huko kaskazini mwa mji wa Bujumbura eneo lijulikanalo kama Kinama