Kanisa la Dar es Salaam Pentecostal Church kama ilivyo katika Utaratibu wake wa kila mwisho wa mwezi watu wake wamekua wakimaliza mwezi kwa Ibada ya kusifu na kuabudu na maombi ambapo huambatana na nyimbo mbalimbali za sifa na kuabudu toka kwa waimbaji wa ndani ya kanisa hilo na wengine wakialikwa toka nje.
Mwezi huu wa 11 Ibada hiyo imekua ya aina yake na kuhudhuriwa na mamia ya watu toka sehemu mbalimbali za jiji la Dar es Salaam.
Matukio katika Picha namna Ibada hiyo ilivyofanyika ni kama invyoonekana katika Picha hapa chini
Matukio katika Picha namna Ibada hiyo ilivyofanyika ni kama invyoonekana katika Picha hapa chini