Wakati Rais wa awamu ya tano wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr.John Magufuli akiingia madarakani ,Rais mstaafu wa awamu ya nne Dr.Jakaya Kikwete ambaye amemaliza muda wake,alikabidhi ikulu na madaraka kwa rais Magufuli na kisha kuagana nae,ambapo baada ya muda akaondoka Ikulu kwa kutumia Helicopter Maalum kuelekea kijijini kwake Msoga.
Sehemu ya picha za tukio zima la kuondoka Ikulu ni kama linavyoonekana kwa Picha hapa