Nimekuweka baadhi ya picha za tamasha hilo kama lilivyofanyika hapo jana,
Pastor Safar Paul wa kanisa la DPC akifungua tamasha kwa neno |
Kundi la the Voice wakiperfom |
John Lisu akiperfom huku mke wake,Nelly akiwa katika Acoustic Guitar |
Mise Anael ndani ya Saxaphone akienda sawa wakti wa tamasha hilo |