Gloroius Worship Team siku ya Pasaka waliweza kufanya vitu vikubwa katika ukumbi wa Victoria jijini Dar es Salaama. GWT ambao wameanzisha kitu kipya kinachoenda kwa jina la Sunday Celebration ambapo kila Jumapili wanakusanyika pamoja na kumtukuza Mungu kwa njia ya uimbaji.
Tangia wameanza hii program kumekuwa na mwitikio mkubwa sana wa watu kufika katika eneo la tukio na kushiriki kumtukuza huyu Mungu wetu kwa njia ya uimbaji.
Sehemu ya Picha event hiyo ni kama zinavyoonekana hapa chini