Ikiwa ni siku ya Valentine kwa wale wote wapendanao siku ambayo wengi wanaamini ni siku ya kuonesha upendo wa ndugu jamaa na marafiki ama kwa wanandoa ,Blog hii inachukua fursa hii kukutambulisha mdau wa blog hii Kitabu kipya kikiwa na kichwa cha habari "KUFURAHIA NDOA",
Kitabu hiki kimeandikwa na kuandaliwa na mchungaji Zakayo na Carol Evelyne Nzogere ambao wamekuwa katika ndoa tangu mwaka 2000,ambapo kwa sasa ni wachungaji wa kanisa la Mwanza International Community Church MICC lililopo jijini Mwanza-Tanzania,pia wamekua wakimtumikia Mungu barani Afrika,Ulaya na Asia.
Kitabu hiki ni mahsusi kwa wote walio katika ndoa na wasio katika ndoa. Pia ni mahususi kwa waalimu na washauri wa ndoa.
Miongoni mwa Masomo yaliyozungumziwa ni pamoja na
1. Mpango wa Mungu katika Ndoa
2. Wajibu wa Mwanaume
3. Wajibu wa Mwanamke
4. Mawasiliano
5. Tendo la Ndoa
6. Ujauzito
7. Malazi ya Watoto na 8. Changamoto katika Ndoa.
Ukihitaji nakala tafadhali wasiliana nasi (+255 757 - 122 890)