![]() |
| Mwanamuziki John Lisu na kitendea kazi chake akiongoza watu katika kumsifu Mungu kwa nyimbo |
![]() |
| Mwanamuziki na Muongozaji wa muziki ,Samuel Yona akiperfom kwa nyimbo huku akicharaza Guitar |
![]() |
| Mwanamuziki John Lisu na kitendea kazi chake akiongoza watu katika kumsifu Mungu kwa nyimbo |
![]() |
| Mpiga Saxaphone wa kimataifa,Moses Zamangwa akipuliza chombo chake cha Kazi ,Saxaphone katika ibada hiyo ya aina yake |
![]() |
| Vijana wa kwaya ya KKKT Kijitonyama wakifatilia matukio yanayoendelea kwenye Ibada hiyo maalum |
![]() |
| MC wa event hiyo,na mtangazaji wa TV almaarufu kama Godwin Gondwe akifafanua jambo |
![]() |
| Joseph Kazungu na timu ya wanamuziki wenzake wakienda sawa na muziki |
![]() |
| Mchungaji wa kanisa la VCCT Dr.Huruma Nkonne pamoja na Mchungaji Abel wakienda sawa na matukio katika ibada hiyo |
![]() |
| Wanakwaya wa KKKT Kijitonyama wakirindima kwa Sauti maridadi kabisa |
![]() |
| Mwanamuziki Upendo Kilahiro akiimba ndani ya Ibada hiyo |
![]() | |
|
![]() | |
|
![]() |
| Mpiga Solo kutoka Glorious Worship Team Emannuel Gripa akicharaza Solo guitar katika Ibada hiyo |
![]() |
| Mtangazaji wa TV,na MC wa shughuli hiyo,Godwin Gondwe akimkaribisha Mise kuanza perfomance yake kwa kutumia Chombo chake cha Saxaphone katika kumtukuza Mungu |
![]() |
| Mwanamuziki Misericordias Anael akipeform na kumsifu Mungu kwa kutumia Saxaphone yake akishirikiana na timu ya wanamuziki wakipiga vyombo tofauti tofauti |
![]() | |
![]() |
Picha kwa Hisani ya Unclejimmy.com


































