Hivi karibuni Tamasha kubwa la kusifu na kuabudu lililopewa jinia Abenego and the Worshipers limefanyika jijini Arusha ndani ya ukumbi wa Metropole Hall ambapo liliambatana na uzinduzi wa Album iitwayo "I know You Love Me"
Akielezea kuhusu namna tamasha hilo lilivyofanyika mmoja wa waaandaaji wa tamasha hilo Peter abednego Hango amesema kwamba anamshukuru sana Mungu kwa uwepo wake mkuu na kuwa upande wake ktk kila kilichofanyika ktk tamasha la Abednego & the Worshipperz lililofanyika Jumapili tar 8 March Metropole hall ambapo tulikuwa na uzinduzi wa album inayoitwa "I Know You Love Me".
Kama Biblia inavyosema katika
Yoh 4:23-24 nasi tunabeba ujumbe huu katika album yetu kwa kusudi la kumwabudu yeye katika Roho na kweli kama anavyotutaka tumwabudu kwa uzuri wa utakatifu, hivyo tunasema ya kwamba sisi tumepatikana na tutamwabudu Yeye kama anavyosema anatafuta waabuduo halisi.
Kwa niaba ya team nzima nawashukuru sana watu wote kwa kujitokeza kwa wingi na kufanya tamasha hili kuwa la pekee tangu ukumbi ule
ulipojengwa.
MUDA: Namshukuru Mungu aliyetuwezesha kuanza saa 8 kamili kama nilivyoahidi kwenye matangazo, hatukuchelewa hata dk moja. Naomba hili liwe linafanyika kwa wengine wote wanaoandaa matamasha ili kuwepo na utofauti kati ya wana wa Mungu na wana wa dunia.
MGENI RASMI:
Kuna watu walidhani tulikuwa na mgeni rasmi, ki ukweli hatukuwa na mgeni rasmi ila tulikuwa na wageni maalum na hatukuwa na lengo la kuchangisha pesa, kwa hiyo tuliwaita ili waje washirikiane nasi na wapate muda wa kuona maono yetu ktk mtazamo mpya na waweze kutusapoti ktk siku za usoni.
Kwa hiyo napenda kuwajulisha wote mliodhani hatukupata pesa ya kutosha kuwa, hatukuwa na nia ya kuchangisha pesa, nia ilikuwa ni uzinduzi na kuweka wakfu.
Kama Biblia inavyosema katika
Yoh 4:23-24 nasi tunabeba ujumbe huu katika album yetu kwa kusudi la kumwabudu yeye katika Roho na kweli kama anavyotutaka tumwabudu kwa uzuri wa utakatifu, hivyo tunasema ya kwamba sisi tumepatikana na tutamwabudu Yeye kama anavyosema anatafuta waabuduo halisi.
ulipojengwa.
POLE: Natoa pole kwa wote waliozoea kuja baadaye wakidhani
tusingeenda na muda maana walikosa sehemu ya kukaa kutokana na mafuriko ya watu.
Nakushauri next time ukisikia tamasha lililoandaliwa na Abednego & the Worshipperz ujue huwa tunaenda na muda.
tusingeenda na muda maana walikosa sehemu ya kukaa kutokana na mafuriko ya watu.
Nakushauri next time ukisikia tamasha lililoandaliwa na Abednego & the Worshipperz ujue huwa tunaenda na muda.
MGENI RASMI:
Kuna watu walidhani tulikuwa na mgeni rasmi, ki ukweli hatukuwa na mgeni rasmi ila tulikuwa na wageni maalum na hatukuwa na lengo la kuchangisha pesa, kwa hiyo tuliwaita ili waje washirikiane nasi na wapate muda wa kuona maono yetu ktk mtazamo mpya na waweze kutusapoti ktk siku za usoni.
Kwa hiyo napenda kuwajulisha wote mliodhani hatukupata pesa ya kutosha kuwa, hatukuwa na nia ya kuchangisha pesa, nia ilikuwa ni uzinduzi na kuweka wakfu.
SHUKRANI: Napenda kushukuru Kiango media, Safina Fm, RHM fm na Clouds fm kwa kujali tamasha hili.
Shukrani kwa Bloggers, Fb fans, whatsapp fans na wote
walioshiriki kupeleka matangazo popote.
SPECIAL Shukrani kwa mke wangu Queen G kwa kuwa nami na kusapoti maono haya.

Asante kwa familia yangu the Worshipperz na marafiki zao.
Shukrani pia kwa kundi la wana maombi walio ndani ya kundi langu hili mmekuwa mkiibeba huduma hii kwa jinsi ya ajabu na kipekee kimaombi.

Shukrani kwa Maaskofu, Wachungaji na watumishi
wengine wote mlioshiriki na mnaoendelea kunipa ushirikiano na ushauri.
Shukrani nyingine ni kwa Mr &Mrs Evance kwa kutoa Jenereta na mabasi yenu kusafirisha team wakati wote wa maandalizi na siku ya tamasha.

Special thanks kwa wanakamati wangu chini ya Gabriel na Lucas na Samson.
Shukrani sana kwa IT team yangu (Samson, John, Nelson na Joel) ambao mmekuwa mki
design logos, badges na cover na vitu mbalimbali.
Shukrani King Chavala kwa kujitoa na kuwa msimamizi mkuu wa event nzima na zijazo kama manager.
ULINZI: Shukrani sana kwa security team yetu na kwa polisi chini ya OCD wa Wilaya yetu ya Arusha, kwa kuja na kushirikiana nasi na kutupa ulinzi. Kipekee nimshukuru mtu wa Mungu Inspekta Nyamwelu kwa kuongoza idara ya ulinzi
kikamilifu.
Mwisho kabisa shukrani zangu ni kwa kila mtu aliyehusika kwa chochote na kwa namna yoyote ktk kuwezesha tukio hili kuwa la kihistoria ktk jiji letu.
Namuomba Mungu aendelee ku enlarge our territory na kututoa toka utukufu hadi utukufu kwa jina la Yesu.
Nawapenda wote na tuendelee kushirikiana kuujenga mwili wa Kristo.
Abednego Peter Hango
Founder & Director -The Worshipperz Intl
YN. 4:23-24 SUV
Lakini saa inakuja, nayo sasa ipo, ambayo waabuduo halisi watamwabudu Baba katika roho na kweli. Kwa maana Baba awatafuta watu kama hao wamwabudu. Mungu ni Roho, nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika roho na kweli.