Usiku wa Kuamkia siku ya tarehe 30 August, 2014 ulifanyika mkesha mkubwa unaojukana kama "Night Of Worship" uliofanyika katika Kanisa la CCC na ambao huwa unaandaliwa na kundi la Next Level.
Mkesha huo ambao unakuwaga maalum kwa ajili kusifu na kuabudu.
Mkesha wa siku wa safari hii ulikuwa na kauli mbiu ya "Unexplainable God" ulikuwa na udhihirisho mkubwa wa nguvu za Mungu kwa kiwango kikubwa sana.
Mbali na kundi la Next level kundi lingine lililokuwepo siku ya jana ni Rivers Of Joy Kutoka VCCT, Door Keepers, Kundi la Drama n.k.

Watumishi Wa Mungu, Challo, Pastor Deus na Bishop Ranwell Mwenisongole wakifungua Mkesha wa Night Of Worship |
Sehemu ya Umati wa Watu waliohudhuria Night Of Worship |
Waimbaji wa Kundi la Next Level wakihudumu |
Grace Mwakasindile akiongoza wimbo usiku wa Jana |
Baadhi ya Waimbaji wa Next Level wakihudumu ndani ya N.O.W |
Vocally kutoka Kundi la Next Level |
Next Level |
Bishop Ranwell akizungumza usiku wa jana |
Apostle Isaac Mallonga mmoja wa wanenaji |
Bishop Ranwell Mwenisongole |
Mmoja wa Ma- Mc Isaac |
Next Level Wakienda Sawa |
Grace Mwakasindile akikamua |
Double G mmoja wa ma mc |
Mise Anael akiwa anaandaa zana za kazi |
Mise Anael akikamua kisawa sawa |
Cheki Mise akifurahia Collable lake na Miriam Lukindo wa Mauki |
Rivers Of Joy Kutoka VCCT wakienda sawa |
Naomi akienda sawa |
Apostle Fred akikanyaga Vinanda wakati Rivers Of Joy wakienda sawa |
Door Keepers |
Apostle Isaac Mallonga na Bishop Shaboka |
Picha kwa hisani ya Samuel Sasali