Hivi karibuni kumekua na sintofahamu hususan baada ya Tume ya rasimu ya mabadiliko ya katika ya jamhuri ya muungano wa Tanzania,kuwasilisha rasimu hiyo ya katiba mpya huku suala la Serikali likionekana kuibua sintofaham na wajumbe kugawanyika makundi mawili moja likiunga mkono serikali mbili na lingine likitaka serikali tatu.
Katika suala hilo viongozi wa dini mbalimbali wametoa nao maoni yao kuhusu suala hilo,mmoja akiwa ni Askofu mkuu Zachary Kakobe wa kanisa la Full Gosple Bible Fellowship lililopo Mwenge jijini Dar es Salaam na kusema kua yeyote anaeitaka Tanganyika irudishwe basi ana Mungu ndani yake.
Tazama video zote mbili hapa chini kuhusu kile alichokisema Askofu Zachary Kakobe
Tazama video zote mbili hapa chini kuhusu kile alichokisema Askofu Zachary Kakobe