Moto mkubwa umezuka majira ya saa 11alfajiri ya Leo katika uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi nchini Kenya na kusababisha taharuki kubwa sana, kwa mujibu wa vyanzo vya habari nchini humo vimeeleza kua chanzo cha Moto huo bado hakijajulikana.
Moto huo ulianzia katika sehem ya ndani ya Idara ya Uhamiaji na baadae kusambaa hadi kwenye eneo la Abiria wa kimataifa, mpaka sasa hakuna majeruhi au vifo vilivyoripotiwa kutokana na moto huo lakini imeelezwa kuwa moto huo umesababisha Hasara kubwa sana uwanjani hapo na pia umeathiri safari za ndege zilizokua zituwe uwanjani hapo siku ya leo
Rais Uhuru Kenyatta nae amefika uwanjani hapo katika kukagua na kupata taarifa ya kile kilichotokea, huku abiria wengi waliokua wasafiri leo wakiwa wamekwama na barabara ya kuelekea JKIA nayo imefungwa mpaka sasa,,,
unaweza kutazama Video ya kile kilichotokea hapa chini