Baadhi ya vinara wa kundi la kiislam la Boko Haramu la nchini Nigeria ambalo limekua maarufu kwa vurugu dhidi ya ukristo na kanisa kwa ujumla nchini Nigeria wamejikuta wakijisalimisha mikononi mwa Mungu ndani ya kanisa la Synagogue church of all Nations (SCOAN) linaoongozwa na Nabii TB Joshua.
Wakati Ibada inakaribia kumalizika TB Joshua akatangaza kuna Jamaa anataka kufanya Ukiri wa kile alichokuwa amekusudia kukifanya na kikashindikana.
Ghafla alionekana kijana aliyejitambulisha kwa jina la Mustapha kutoka Kitongoji cha Adamawa ambae alieleza kuwa yeye pamoja na Boko Haram wengine wanne walikuwa wametumwa kuja kulipua kanisa hilo.
Kijana huyo alieleza wakiwa katika "Junction" ya kuelekea katika barabara ya kuelekea katika Kanisa hilo Walimpatia Mwenzao mmoja mfuko uliokuwa na Bomu kwa ajili ya kufanya ulipuaji kiaja huyo akakataa.
Kutokana na mabishano hayo wakaamua kuingia kwenye mgahawa ulio karibu na Kanisa hilo. Walikuwa wakila na kunywa huku wakitazama Ibada zinazoendelea hapo SCOAN.
Kijana huyo anaeleza wakati TB Joshua alipoanza kuombea watazamaji katika TV ndipo Maombi hayo yaka "wavuruga", Boko harama wengine wanne wakaamua kuondoka baada ya "kuvurugwa" na maombi ila Mustapha akawekwa chini ya Ulinzi na Roho Mtakatifu akatoka katika Mgahawa na Kwenda Kanisani kuelezea Majanga yaliyowapata.
Credits:Sam sasali