Askofu mkuu wa kanisa la Full Gospel Bible Fellowship Zachary Kakobe amemuandikia barua ya wazi Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete na kuelezea mambo mbalimbali ambayo kama kanisa hawajaridhika nayo kuhusiana na mchakato wa Katiba mpya unaondelea kuanza kwenye uteuzi wa majina ya wajumbe mpaka sasa.
Barua hiyo inasomeka kama ifuatavyo hapa chini kama blog hii tulivyoipata nakala halisi ya Barua hiyo