Mtu mmoja mkazi wa nchini Brazil ambaye hajajulikana jina lake halisi mapema wiki hii ameibuka na kujiita yeye ni nabii na kisha baadae kujiita kua yeye ni Yesu Kristo huku akiwa na wafuasi na akiwa na mavazi yanayofanana na yale ambayo yamekua yakitumiwa na watu wengi ambao wameigiza sana filamu zinazoelezea maisha halisi ya Yesu kristo wa Nazareth ambaye inaaminika duniani kote alizaliwa miaka 2000 iliyopita na kisha kusulubiwa na wayahudi na baadae kufa na kufufuka siku ya tatu na kupaa mbinguni.
Tofauti na historia halisi kama ilivyoandikwa kwenye vitabu vitakatifu nabii huyo ambaye wengi wamemwita nabii wa uongo hivi ndivyo anavyoonekana katka picha zifuatazo ambapo yeye anajiita Inri cristo 66 ambapo neno hili la kilatino maana yake ni 'Yesu wa Nazareti', 'Mfalme wa wayahudi'
Inri Cristo, 66, akiongea na wanafunzi (wafuasi) wake nje ya kanisa lake liliopo Brasilia nchini Brazil. |
Tofauti na historia halisi kama ilivyoandikwa kwenye vitabu vitakatifu nabii huyo ambaye wengi wamemwita nabii wa uongo hivi ndivyo anavyoonekana katka picha zifuatazo ambapo yeye anajiita Inri cristo 66 ambapo neno hili la kilatino maana yake ni 'Yesu wa Nazareti', 'Mfalme wa wayahudi'
Inri Cristo akiwa katika baiskeli yake nje ya eneo lake la kanisa |
Add caption |
Hawa
ni baadhi ya wanafuzi wa Inri Cristo ambao huishi hapo hapo kwenye eneo
la kanisa. Wengi wa wawashiriki hao wamekuwa wakijulikana na Inri kwa
zaidi ya miaka 20. |
Pamoja na kwamba ni nyumba ya Yesu na makao makuu ya dehebu la Inri lakini bado hutumia mbwa kwa aajili ya kumlinda. |
Wafuasi
wa Inri Christo ambao ni wanawake huvaa nguo za blue ambazo zina logo
ya kanisa hilo, zenye kamba kiunoni na kofia za kufumwa.
|
Inri Cristo huwahubiria waumini wake kila Jumamosi asubuhi kutoka mimbara yake kwenye mji wake 'Mpya wa Yerusalem'
|