 |
John Lisu akiwa na mkewe Nelly Kais Lisu kabla ya kupanda stejini |
 |
John Lisu akiongoza maelfu ya watu katika Ibada wakati wa Live Recording ya DVD UKO HAPA |
 |
Ma MC wa shughuli hiyo kutoka kushoto Godwin Gondwe na Samuel Sasali papa a.k.a ze Blogger |
 |
Mwanamuziki Bomby Johnson akiongoza watu katika wimbo wa kuabudu |
 |
Paul Clement akihudumu |
 |
Neema Kwaya wakihudumu |
 |
Yesu yupo mahali hapa,,,,Godwin Gondwe MC wa shughuli hiyo akielezea jambo wakati wa Live Recording ya DVD Uko Hapa |
 |
Godwin Gondwe Mtangazaji wa ITV na Radio one akiwa katika uwepo wa Mungu |
Picha kwa hisani ya James Temu