Tamasha kubwa la kusifu na kuabudu linatarajia kufanyika leo katika ukumbi wa BCIC mbezi beach kuanzia saa 3 usiku hadi saa 12 alfajiri likiwa na lengo la kuliombea Taifa Amani, Upendo na uchumi.
Akizungumza mbele ya waandishi wa habari , Mlezi wa
Aflewo (Africa Let’s Worship) Askofu Fredy Kyara, amewataka watanzania
kujitokeza kwa wingi katika tamasha hili kwa kubainisha kua hakutakua na
kiingilio katika tamasha hilo
Askofu Kyara amesema kuwa, tamasha hilo litashirikisha kwaya mbalimbali kutoka makanisa 32 ya madhehebu tofauti katika kusifu na kuabudu. ambapo mpaka sasa tamasha hilo linafanyika kwa mara ya tatu tangu kuanzishwa kwake hapa nchini Tanzania mwaka 2011 na kuenea nchi zote za Afrika.
“Tamasha hili limeboreshwa kwa kuongeza muiondombinu ya utendaji kazi, kwa kutanua wigo wa ushirikishwaji wa makanisa mengi,” alisema Kyara.
Aidha matasha mengine ya Aflewo, yanatarajiwa kufanyika nchi nzima kwa kufanyika kila mkoa, kwa mwaka huu tamasha hilo litaanza kufanyika katika mikoa ya Mwanza, Moshi na Zanzibar na hatimaye Afrika yote.
Viongozi waandamizi wa AFLEWO kutoka kushoto ni Samuel Sasali,,Bishop Fredy Kyara na Pastor Safari |
Askofu Kyara amesema kuwa, tamasha hilo litashirikisha kwaya mbalimbali kutoka makanisa 32 ya madhehebu tofauti katika kusifu na kuabudu. ambapo mpaka sasa tamasha hilo linafanyika kwa mara ya tatu tangu kuanzishwa kwake hapa nchini Tanzania mwaka 2011 na kuenea nchi zote za Afrika.
Pastor Paul Safari Mlezi wa Aflewo Tanzania. |
“Tamasha hili limeboreshwa kwa kuongeza muiondombinu ya utendaji kazi, kwa kutanua wigo wa ushirikishwaji wa makanisa mengi,” alisema Kyara.
Mkurugenzi wa Habari Aflewo Tanzania Samuel Sasali a.k.a papaa sebene akifafanua jambo. |
Aidha matasha mengine ya Aflewo, yanatarajiwa kufanyika nchi nzima kwa kufanyika kila mkoa, kwa mwaka huu tamasha hilo litaanza kufanyika katika mikoa ya Mwanza, Moshi na Zanzibar na hatimaye Afrika yote.
Samuel Rodin Mwangati Music Director wa Aflewo. |