Usiku wa leo Mkesha mkubwa wa kusifu na Kuabudu kwa jina AFLEWO,Africa Let's Worship umefanyika ndani ya kanisa la BCIC Mbezi beach jijini Dar es salaam na kuhudhuriwa na maelfu ya wakazi wa jiji hilo huku mkesha huo ukipambwa na waimbaji mbalimbali ambao kwa pamoja waliungana na Mass choir katika kumsifu Mungu.
Mkesha huo ulianza majira ya saa tatu usiku hadi majira ya saa 12Asubuhi na miongoni mwa mambo yaliyojiri katika mkesha huo ni pamoja na maombi maalum ambayo yalifanywa na wachungaji na watu wote waliohudhuria Tamasha hilo ambapo maombi hayo yalikua ni ya kuombea bara zima la Africa na nchi zote za africa kuwa na Aman na mshikamano na watu waweze kumuabudu Mungu kwa uhuru.
Miongoni mwa mambo yalivyokua ni kama inavyoonekana katika picha hapa chini

Mrs.Tumaini Ona |
mpango mzima wa sound ulikua hivi |
Pastor.Safari akiongoza sifa |
Askofu Sylvester Gamanywa wa kanisa la BCIC Mbezi beach ambapo tamasha hili lilifanyika |
Shangwe za AFLEWO zilikua hiviiiii |
Music Director Samuel Mwangati akiongoza sifa |
Askofu Gamanywa katika maombi kwa ajili ya Tanzania |
Askofu kyara katika maombi kwa Tanzania |
Pastor Gal na mtumishi wa Mungu John Kagaruki |
Dr. Ona akiperfom wimbo God is able wa Dietrich Haddon |
inua kitambaaaaa chako na kelele za shangweeeeeeeeeeeeee |
Amon Kilahiro na Music Crew |
Askofu Kyara akitoa neno la Mungu |
Pastor Abel akiongoza maombi kwa Tanzania |
Pastor Safari Paul |
Ma MC wa shughuli nzima Papaa Sam Sasali na MC Luvanda |
Praise Team toka Moshi |
Mtumishi wa Mungu Rose Mushi akiongoza maombi juu ya bara la Afrika |
Kundi la Acapela la The Voice |
kikundi maalum cha Dancers kikifanya vitu vyake |