Afya ya mwanamuziki maarufu wa nyimbo za injili toka nchini Marekani maarufu kama Ron Kenoly Imeanza kurudia katika hali yake ya kawaida baada kuwa katika hali ya udhaifu mkubwa sana ndani ya kipindi cha majuma machache yaliyopita.
Mwanamuziki Ron Kenoly alilazwa hospitali wiki iliyopita baada ya hali yake kiafya kudhoofika ghafla ambapo alikuwa hawezi hata kula chakula,huku uzito wa mwili wake ukipungua zaidi.
kwa mujibu wa madaktari wanaomtibu Ron Kenoly wamesema kuwa Ron Kenoly alikuwa anasumbuliwa na tatizo kwenye mapafu lakini hadi hivi sasa wamefanikiwa kulitibu tatizo na kwa sasa anaendelea vizuri.
wakati huohuo mwanamuziki wa nyimbo za Injili Don Moen kutoka Marekani amekuwa mstari wa mbele katika kumuombea Ron Kenoly apone haraka huku akihamasisha maombi mengi zaidi toka kwa watu wote wanaomcha Mungu Duniani wamuombee Mwanamuziki Ron kenoly ili apone na kurudi katika huduma.
Don Moen anasema kwamba kwa mujibu ripoti ya kwanza toka kwa madaktari walisema kuwa Ron Kenoly alikuwa hawezi hata kula chakula lakini baada ya maombi ambayo timu ya waombaji wakishirikiana na Don Moen kufanya maombi mazito Ron Kenoly ameweza sasa kuanza kula chakula baada ya kutoweza kula chakula kwa wiki kazaa zilizopita.
hiki ndicho alichokisema Don Moen katika updates zake za maombi ya kila wiki
" I just heard today that the biopsy came back negative! God is good! Let's continue to lift Ron up in prayer. Please join me.
"Lord, we give you praise, rejoicing for what You've done for Ron and we join our hearts and our faith together now and ask You to finish the work You have started! We ask You to complete the healing that You have begun in Ron's body and continue to strengthen him in Jesus' Name! Thank you Lord for answered prayer! By faith, we give You thanks for all You're about to do! In Jesus Name, AMEN!!
Blessings always,
Don
Tazama moja ya video za Ron Kenoly ambazo ni sehem ya huduma yake ya kusifu na kuabudu kwa njia ya uimbaji
Mwanamuziki Ron Kenoly alilazwa hospitali wiki iliyopita baada ya hali yake kiafya kudhoofika ghafla ambapo alikuwa hawezi hata kula chakula,huku uzito wa mwili wake ukipungua zaidi.
kwa mujibu wa madaktari wanaomtibu Ron Kenoly wamesema kuwa Ron Kenoly alikuwa anasumbuliwa na tatizo kwenye mapafu lakini hadi hivi sasa wamefanikiwa kulitibu tatizo na kwa sasa anaendelea vizuri.
Mwanamuziki Ron Kenoly |
Don Moen Mwanamuziki wa nyimbo za Injili toka Marekani |