Felix Mshama ndiye aliyepiga Acoustic Guitar katika video hii na hii ni moja ya part ambazo pia ameimba katika hii video |
Barnabas Shija katika video hii ameplay part yake kama Vocalist na pia ameonyesha uwezo wake katika kuitumia sauti yake vizuri ndani ya wimbo huu |
"tumeamua kuunganisha nguvu sisi kama wanamuziki watatu na kuachia hii video inayokwenda kwa jina "U mwema " kama utambulisho kwa wadau wote wa muziki wa injili.
tulichokifanya sio kuunda kundi bali tumeamua kufanya video song hii kwa pamoja then after that kila mmoja ataendelea na shughuli zake binafsi za kimuziki then tutakapotaka kutoa yingine then tutakutana na kufanya kama ilivyofanyika kwa hii video song"
Wanamuziki hawa wanasema kuwa, Idea ya wimbo huu ilikuja kama freestyles (mitindo huru) ambapo walikua wamekutana studio katika moja ya shughuli zao za kimuziki na katika kupeana freestyles(mitindo huru) then wakapata kionjo ambacho walikubaliana kukifanyia kazi na walipoona kinasound vizuri ndipo wakaamua sasa kufanya serious video song hii
video song hii imefanywa na wanamuziki watatu ambao ni Felix Mshama,Barnabas Shija na Noel Mlabwa huku ambapo Acoustic guitar limepigwa na Felix Mshama huku Barnabasa Shijja na Noel Mlabwa wakiunganisha vocals zao pamoja na Felix mshama kwa pamoja kuupamba wimbo huu.
Barnabas Shija |
Baada ya kuwafahamu wanamuziki hawa sasa Tazama video yao hiyo mpya hapa chini
Noel Mlabwa a.k.a Papaa |
Felix Mshama |
moja ya sehem za wimbo huo zinazoonekana katika video hiyo |
unaweza kuitazama video hiyo hapa chini.
Sasa tuangalie background za wanamuziki hawa kila mmoja katika shughuli zake za Kimuziki kama inavyoonyeshwa kwa picha hapa chini.
Barnabas Shija, akiwa katika moja ya shughuli za kimuziki hapa katika moja ya mazoez yake kujiweka sawa kimuziki |
Felix Mshama mkali wa Acoustic guitar hapa ilikua katika kuhudumu katika moja ya Ibada ambazo hufanyika ndani ya muunganiko wa wanachuo SAUT maarufu kama TAFES |
Noel Mlabwa the papaa |
Kutoka Kushoto Esta Denis (Vocalist) Noel Mlabwa a.k.a. Papaa, Felix Mshama (guitarist) na Kabula Siza (vocalist ) katika moja ya mazoez ya muziki Isamilo Lodge Jijini Mwanza |
Barnabas Shija katika praise and worship ndani ya CCC jijini Dar es Salaam |
Noel Mlabwa a.k.a Papaa akilead praise katika moja ya tamasha ya praise and worship ndani ya SAUT mwaka 2011 |