Anajulikana kama Solly Mahlangu moja kati ya wanamuziki wazuri wa Muziki wa Gospel nchini Afrika Kusini ambaye amekuwa akifanya vizuri katika matamasha mbalimbali ya Live Gospel music nchini humo.
kupitia album hii inayokwenda kwa jina la Mwamba Mwamba Solly Mahlangu amefanikiwa kutwaa tuzo mwaka huu wa 2012 nchini humo katika nafasi ya "Best Traditional Faith Music Album". Solly Mahlangu alifanikiwa kutwaa tuzo hiyo ambapo wanamuziki wengine waliokuwa wanawania tuzo katika nafasi hiyo ni pamoja na Kgotso, Ngubheko Mbatha na Soweto Spiritual Singer.