Muhubiri maarufu wa vipindi vya
Televisheni nchini Nigeria TB Joshua amesema ametabiri " kwamba Hillary
Clinton atamshinda Donald Trump" katika uchaguzi wa urais wenye
ushindani mkali tarehe 8 Novemba mwaka huu.

"boti ya rais mpya itakuwa imefungwa," aliongeza.
TB Joshua ni mmoja wa viongozi wa kidini wenye ushawishi na utata barani Afrika, huku wengi wa wafuasi wake wakiamini kuwa "utabiri " wake ni wa uhakika.