Katika Kusherehekea siku ya Uhuru wa taifa la Tanzania,mwaka huu imeazimishwa kwa aina yake ambapo Kauli mbiu ya Uhuru na kazi imewekwa katika Vitendo kwa kusherehekea siku hiyo bila gwaride kama ilivyozoeleka na badala yake imesherehekewa kwa kufanya kazi ya Usafi wa mazingira nchi nzima huku ikiongozwa na Rais John Pombe Magufuli
Picha za shughuli nzima ya usafi ni kama zinavyoonekana hapa