Hatimaye mwanamuziki wa injili nchini,Flora Mbasha ameamua kumsamehe muwewe na mzazi mwenzake,Emmanuel Mbasha na kufikia uamuzi wa kufuta kesi aliyokua ameifungua ya kudai Talaka kwa njia ya Mahakama,ikiwa ni siku chache tuu baada ya bwana Mbasha kushinda kesi ya Ubakaji aliyokua akikabiliana nayo awali.
Katika Ukurasa wa Face book wa kiongozi wa chama cha muziki wa injili nchini Tanzania,Addo November,ambaye pia kitaaluma ni mwanasheria,amepost picha akiwa na mwanamuziki Flora Mbasha ikiwa ni muda mfupi baada ya Flora kuamua kufuta kesi ya madai ya talaka kama alivyokua ameifungua awali dhidi ya mume wake.
wadau mbali mbali kwa miezi kadhaa walikua wakitamani wapendwa hao kusuluhisha migogoro yao hiyo na kuonesha mfano au kua kama kioo kwa jamii
sehemu ya post hiyo inasema kwamba