Jumapili hii imekua ya baraka sana kwa mdau mmoja wapo wa blog hii,Papaa Noel Mlabwa ambapo jumapili hii ameamua rasmi kutangaza uchumba wake yeye na Bi Kabula Siza,pamoja na kumvisha Pete ya uchumba wakiwa ndani ya kanisa la Mito ya Baraka linaloongozwa na Askofu Mwakibolwa.
|
Bi Kabula Siza akiwa na msindikizaji wake wakisubiri kwa shauku kubwa tukio la Uvalishwaji Pete mbele ya madhabahu ya kanisa la Mito ya baraka |
|
Papaa Noel Mlabwa akiwa amesindikizwa na Felix Mshama wakiwa katika madhabahu ya kanisa la Mito ya baraka jijini Dar es Salaam wakisikiliza maelekezo toka kwa Askofu Mwakibolwa |
Katika Tukio hilo lililokua na kila aina ya bashasha na mbwembwe za aina yake ambapo katika kutangaza nia hiyo kuliibua shangwe za kutosha pamoja na zawadi nyingi sana kutoka kwa marafiki ndugu jamaa na waumini wenzao ambao walionekana kufurahishwa na vijana hawa kuchukua uamuzi huu muhimu katika maisha na kuanza safari ya kuelekea kwenye Ndoa.
|
Askofu Mwakibolwa wa kanisa la Mito ya Baraka akitangaza uchumba wa Noe Mlabwa na Kabula Siza |
|
Papaa Noel Mlabwa akipokea Pete toka kwa msaidizi wake bwana Felix Mshama tayari kabisa kwa ajili ya kumvisha Bi Kabula Siza |
|
Bi Kabula Siza akifurahia jambo wakati wakipokea zawad toka kwa ndugu jama na marafiki waliojitokeza kuwapongeza |
|
kwakua vijana hawa ni wanamuziki na waimbaji basi Ukafika muda wa kuperfoma madhabahuni kwa nyimbo muruaa na ikawa kama inavyoonekana hapa |
|
Picha ya Pamoja Papaa Noel Mlabwa na Bi Kabula Siza |
|
Picha ya Pamoja na marafiki wa karibu wa Noel Mlabwa na Kabula Siza |
|
Picha ya Pamoja na marafiki wa karibu wa Noel Mlabwa na Kabula Siza |
|
|
Muda wa Picha kwa Maswahiba hao pia ukafika,,,Kutoka Kushoto wa kwanza ni Felix Mshama, katikati ni Blogger Baraka Samson Chipanjilo, mmiliki wa blog hii ya mjap inc, na kulia ni Papaa Noel Mlabwa |
|
Muda wa Picha kwa Maswahiba hao pia ukafika,,,Kutoka Kushoto wa kwanza ni Felix Mshama, katikati ni Blogger Baraka Samson Chipanjilo, mmiliki wa blog hii ya mjap inc, na kulia ni Papaa Noel Mlabwa |
|
|
Picha ya pamoja ya Vijana wa familia ya Mr, Mlabwa David,Kabula Siza,Noel Mlabwa,Martin na Daniel Mlabwa |
Picha zingine