Vilevile amesema kuwa hakuna mtu atakayeweza kumchagulia rafiki kwani marafiki alionao ambao ni Dr.Slaa (Katibu Mkuu wa Chadema) alkhalika Mh.Edward Lowasa (mbunge)ametoka nao mbali na wameishi kwa pamoja kwa muda mrefu kwahiyo mtu yeyote yule anayeona yeye kuwa na watu hao ni kosa au inamuumiza kwa njia moja au nyingine basi asahau kuharibu urafiki wao uliojengwa kwa muda mrefu.
Kwa upande mwingine ameweka wazi ya kuwa alikataa kutibiwa katika hospitali ya Jeshi la Polisi kule Kurasini kwa sababu matatizo aliyoyapata hata kuzimia aliyapata akiwa polisi kwahiyo hakuona umuhimu wa kuendela kuwa chini ya hospitali ya Jeshi la Polisi ambalo hali aliyonayo sasa aliipata akiwa mikononi mwa Jeshi la Polisi ndipo alipoomba kupelekwa kwenye hospitali nyingine mbali na hapo.
Lakini pia Askofu Gwajima ameweka wazi ya kuwa hataacha kuwakemea watu wote watakaofanya makosa katika jamii pasipo kuogopa wala kuficha jambo lolote.
Kadhalika amekazia ya kuwa Askofu yeyote atakayekwenda kinyume na maamuzi ya pamoja ya maaskofu wote pamoja na baraza la maaskofu hataacha kumkemea kwani nia ya maaskofu wote ni kuhakikisha amani ya nchi hii inadumu daima na hivyo yeyote atakayesababisha au kwenda kinyume na jambo hili ni lazima atamkemea hadharani bila hofu.
Mchungaji nasikia miguu inatetemeka..!!naomba nisaidie nisimame.....nataka kutembea mwenyewe....nataka kutembea mwenyewe......Roho wa bwana yu juu yangu nataka kutembea
Siwezi kuombea wengine mimi nikaendelea kukaa kwenye kiti cha walemavu......bora nife kuliko kukaa hapa...Yesu nimechoka kukaa kwenye hiki kiti nataka kutembea mwenyewe"
Askofu Dr.Josephat Gwajima akiwa na Mke wake Mchungaji mwandamizi Pastor Grace Gwajima wakiabudu. |
Umati mkubwa wa watu ukishangilia na kulia huku wakimshukuru Mungu kwa machozii |
Mchungaji nasikia miguu inatetemeka..!!naomba nisaidie nisimame.....nataka kutembea mwenyewe....nataka kutembea mwenyewe......Roho wa bwana yu juu yangu nataka kutembea
Siwezi kuombea wengine mimi nikaendelea kukaa kwenye kiti cha walemavu......bora nife kuliko kukaa hapa...Yesu nimechoka kukaa kwenye hiki kiti nataka kutembea mwenyewe"
Maneno hayo alikua akiyasema Askofu wa kanisa la ufufuo na uzima Tz Dr J Gwajima wakati kanisa wakiwa wanaomba ndipo alipoamka na kuanza kutembea tena mwenyewe jana kwa mara ya kwanza katika ibada
Tazama Video hapa tukio zima lilivyokua
Tazama Video hapa tukio zima lilivyokua
Credits:Uncle jimmy