Tukio la aina yake limejitokeza nchini Malawi baada ya mtu mmoja raia wa Italy kujikuta akipokelewa na umati wa watu kwa shangwe kubwa baada ya watu kumfananisha na mtu aliyewahi kuonekana kwenye Sinema za Yesu walipomlaki wakiamini ndiye Yesu halisi amewatembelea kama siku ya Unyakuo ndio imefika.
Baada ya tukio hilo watu hao walishtushwa baada ya mtu huyo kujitambulisha kwao kua yeye sio Yesu bali ni
Mtalii kutoka Italy aitwaye Antonio Boreti na alikua yupo Safarini kuelekea Zambia
Mr.Boreti alielezea kushtushwa na tukio hilo lakini alijikuta akiburudika baada ya kuona attention ya watu imekua kubwa kwake na wengi wakiwa wanamfuata.