Ijumaa hii ya tarehe 13,June 2014 Mkesha mkubwa wa kusifu na kuabudu na kuliombea taifa la Tanzania na kuhudhuriwa na maelfu ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam pamoja na wageni kutoka Mombasa nchini Kenya ambao walijumuika pamoja katika kumsifu Mungu.
Mkesha huo ulipambwa na nyimbo mbalimbali zilizopigwa live na Mass Choir ambayo ilikua imejipanga kwa maandalizi mazito yaliyokua yamechukua miezi 6, kwa ajili ya tukio hilo la siku moja.
pamoja na sifa mkesha huo ulipambwa na perfomance za kikundi cha sanaa cha Arts in Christ ambao walifanya Igizo lililochukua hisia za watu wengi pamoja na live Perfomance ya Mpiga Saxaphone maarufu Mise Anael ambaye akishirikiana na wanamuziki kama Samuel Yona,Aman Kapama na Daniel Sylandah walifaya perfomance ya aina yake ya kuimba nyimbo mbalimbali kwa njia ya ala za muziki
Picha na matukio yaliyojiri katika mkesha huo ni kama zinavyoonekana hapa chini.
Picha na matukio yaliyojiri katika mkesha huo ni kama zinavyoonekana hapa chini.
Baadhi ya Wanakamati wa Aflewo 2014 |
MC wa Event hii alikua Papaa Samuel Sasali |
Sehemu ya Igizo lililofanywa na kikundi cha Arts in Christ |
Mwanamuziki Mise Anael akiperfom live kwa kucheza na Saxaphone kwa umaridadi |
Pastor Safari akiongoza maombi wakati wa mkesha huo wa AFLEWO |
Pastor Deo Lubala akihubiri katika mkesha huo |
Pastor Deo Lubala wa kanisa la World Alive Ministry akiwaongoza watu kumpa Yesu Maisha yao katika mkesha huo |
Mwimbaji na mwanamuziki Bale akiongoza watu katika Sifa |
Team ya Wanamuziki |
Sehemu Ya Umati Wa Watu Waliohudhuria Aflewo Wakienda Sawa |
Baadhi Ya Backers Wa Aflewo Team Wakiwa Hudumani |